MAHAKAMA YAAMURU MWILI ULIOZIKWA 2020 UFUKULIWE

Mahakama hiyo pia imeamuru matokeo ya uchunguzi huo yawasilishwe katika vyombo husika ili kama kuna watu waliohusika na kifo hicho wachukuliwe hatua za kisheria.

Uamuzi huo umetolewa leo Desemba 19, 2022 na Hakimu Mkazi Mkuu Franco Kiswaga, kufuatia maombi yaliyofunguliwa na wanafamilia wa marehemu. 


Chanzo - Mwananchi

Previous Post Next Post