Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa Dk. John Harold Kulimba Utamwa, enzi za Uhai wake.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa Dk. John Harold Kulimba Utamwa amefariki Dunia.
Taarifa za awali zimesema amefariki Dunia Jumatatu Januari 2, 2023, akiwa katika Hospitai ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua.