MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.HUSSEIN MWINYI AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM

 MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Ali Kwaida na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi.Rehema Sombi na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg.Kenani Kihongosi, wakishiriki katika matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, baada ya kuzinduliwa leo 5-1-2023,katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe Kisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida, baada ya kuyazindua Matembezi ya Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe Kisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 5-1-2023.(Picha na Ikulu) MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe Kisonge Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati akiyazindua Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ya kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimiza Miaka 59.(Picha na Ikulu) 


MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kiongozi wa Matembezi ya Vijana wa (UVCCM) Lulu Saleh Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar.Marehemu Abeid Amani Karume, wakati wa uzinduzi wa Matembezi ya Vijana wa (UVCCM) yaliyozinduliwa leo 5-1-2023 katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembe Kisonge Wilaya ya Mjini Unguja, kuaza rasmon matembezi hayo leo katika Mikoa Mitatu ya Unguja.(Picha na Ikulu)
Previous Post Next Post