" TFF:FEI TOTO BADO NI MCHEZAJI WA YANGA SC

TFF:FEI TOTO BADO NI MCHEZAJI WA YANGA SC

 


KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeamua kwamba kiungo Feisal Salum Abdallah bado ni mchezaji halali wa Yanga kwa mujibu wa mkataba.



 

Post a Comment

Previous Post Next Post