
Aliyewahi kuwa Askofu wa Kanisa la
African Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Shinyanga Dkt. John Nkola
amefariki Dunia leo asubuhi Mei 17,2023.
Dkt. Nkola amefariki Dunia wakati
akipatiwa matibabu katika Hospitali ya rufaa ya kanda Bugando jijini Mwanza.
Askofu Zakayo Bugota ambaye ni msaidizi
wa Askofu mkuu wa kanisa la AICT amethibitisha kufariki Dunia kwa Askofu Dkt.
Nkola.
Hata hivyo Askofu Bugota amesema taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa kesho.
Post a Comment