RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-5-2023.(Picha na Ikulu)




Post a Comment