" WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAMETANGAZA MGOMO KUONDOA URASIMU BANDARINI

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAMETANGAZA MGOMO KUONDOA URASIMU BANDARINI

 

Wafanyabiashara Kariakoo wametangaza mgomo usio na kikomo ili kuondoa
1. Urasimu wa Bandarini
2. Kamata kamata za mizigo mitaani
3. Sheria mpya ya usajili wa stoo.
4. Utitiri wa kodi

Post a Comment

Previous Post Next Post