" KATIBU WA KAMPENI YA SHUJAA WA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII TANZANIA (SMAUJATA) KANDA YA ZIWA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI GEITA

KATIBU WA KAMPENI YA SHUJAA WA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII TANZANIA (SMAUJATA) KANDA YA ZIWA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI GEITA

Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa SMAUJATA  Mkoa wa Geita.

Katibu wa SMAUJATA Kanda ya Ziwa Shujaa Hashim Omary Ramadhani akihutubia viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Geita ikiwa ni sehemu ya ziara yake, katika ukumbi wa mikutano ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa geita.

Post a Comment

Previous Post Next Post