" KOCHA WA TAIFA STARS AFUNGIWA MECHI NANE (8), TFF YAMSIMAMISHA

KOCHA WA TAIFA STARS AFUNGIWA MECHI NANE (8), TFF YAMSIMAMISHA

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemfungia mechi 8 Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Adel Amrouche baada Shirikisho la Mpira wa Miguu la Morocco (RMFF) kuwasilisha malalamiko CAF

RMFF imelalamika kuhusu kauli za Kocha huyo akidai kuwa Morocco inaushawishi ndani ya CAF katika kupanga mechi pamoja na Waamuzi

Aidha, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imemsimamisha Kocha huyo na kumteua Hemed Morocco kuwa Kaimu Kocha huku akisaidiwa na Juma Mgunda

Post a Comment

Previous Post Next Post