Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa
ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara
ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.
Post a Comment