BS- Africa Water Filters imekusogezea
karibu ndoo maalumu za kuchujia maji ya kunywa majumbani ambapo kulazimika
kuchemsha maji.
Ndoo (filters) hizi hazitumii
umeme, hazitumii kemikali wala dawa, zinachuja maji na yanakuwa safi na salama.
Ndoo hizi ni rahisi kuzitumia na ni
rafiki kwa mazingira.
Punguza gharama za kununua maji
lakini pia kuchemsha maji kwa kutumia Filters hizi.
Tunapatikana Majengo Mapya Mjini
Shinyanga.
Kwa waliopo nje ya Shinyanga utatumiwa
mzigo wako kwa wakati na usalama kabisa.
Mawasiliano WhatsApp namba
0654029516 au piga simu namba 0753392805
Chaguo sahihi kwa ajili ya
familia yako, ishi kisasa.
Post a Comment