RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MWINGINE

 








Rais Samia amemteua Mhandisi Dr. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Dr. Mgaya ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ambapo katika uteuzi huu ulioanza March 4 2024 anachukua nafasi ya Profesa Zacharia Mganilwa ambaye amemaliza muda wake. 
Previous Post Next Post