Na Mapuli Kitina Misalaba
Kampeni ya kupinga ukatili Nchini SMAUJATA Mkoa wa
Shinyanga imeiomba Halmashauri ya Wilaya ya Msalala kuendelea kushirikiana ili
kupunguza au kutokomeza kabisa vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika jamii.
Hayo yamebainishwa na viongozi wa
SMAUJATA katika kikao cha pamoja na mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala
kilicholenga kuwatambulisha viongozi wa SMAUJATA Halmashauri hiyo.
Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel
Kapaya pamoja na Mwenyekiti idara ya itifaki, uachama na uenezj Bwana Solomon
Najulwa wameomba ushirikiano kati ya SMAUJATA na viongozi wa Halmashauri hiyo.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya
Msalala Bwana Daniel Joseph pamoja na Katibu wa SMAUJATA Halmashauri hiyo Bi.
Nives Nyoni wameahidi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa bidii ili kufikia
malengo.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana
Abdulikadri Mfilinge amesema Serikali ya Halmashauri hiyo itatoa kushirikiana
ili malengo ya kampeni hiyo yaweze kutimia.
Mwenyekiti idara ya itifaki, uachama na uenezj Bwana
Solomon Najulwa akizungumza kwenye kikao hicho.

Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel Kapaya akizungumza kwenye kikao hicho.
Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel
Kapaya akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Bwana Daniel Joseph akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Bwana Daniel Joseph akizungumza kwenye kikao hicho.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana
Abdulikadri Mfilinge akiwapongeza viongozi wa SMAUJATA huku akiwahakikishia
ushirikiano katika kupambana na vitendo vya ukatili.

Viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga na viongozi
wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala wakiwa kwenye picha ya pamoja na
kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana Abdulikadri Mfilinge baada ya
kikao.
Viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga na viongozi
wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala wakiwa kwenye picha ya pamoja na
kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana Abdulikadri Mfilinge baada ya
kikao.
Viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga na viongozi
wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala wakiwa kwenye picha ya pamoja na
kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana Abdulikadri Mfilinge baada ya
kikao.
Katibu wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana Daniel
Kapaya wa kwanza upande wa kushoto, Mwenyekiti idara ya itifaki, uachana na
uenezi SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bwana
Solomon Nalinga upande wa kulia wakiwa
kwenye picha ya pamoja na kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana
Abdulikadri Mfilinge.
Viongozi wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala wakiwa
kwenye picha ya pamoja na kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala Bwana
Abdulikadri Mfilinge.
Mwenyekiti wa SMAUJATA Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Bwana Daniel Joseph wa kwanza upande wa kushoto, Katibu wa SMAUJATA Halmashauri
hiyo Bi. Nives Nyoni wakiwa kwenye picha ya pamoja na kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Msalala Bwana Abdulikadri Mfilinge.