Michael landu Nyoni Ambae ni Katibu wa Ccm Kata ya Bujora amempongeza Diwani wa Kata ya Bujora Kwa kushirikiana na wadau katika Ujenzi wa Mradi wa Flamu za Biashara Ndani ya Kata iyooo
Akizungumza na Misalaba Media Nyoni amesema wao kama Chama Cha Mapinduzi wakiongozwa na Diwan wao waliamua kujenga Miradi ya kuisaidia Chama kujiendesha Chenyewe bila kutegemea ludhuku kutoka Serikalini.
Tumeshakamilisha Ujenzi wa Flamu Tatu ambazo zipo tiyari na watu wanaendelea na Shughuli za kibiashara tupo kwenye Ujenzi wa ukumbi wa Sherehe
Lakini pia Michael amewataka Wananchi wa Kata iyoo Kujitokeza katika kuhakikisha umejiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura