MWENYEKITI WA CCM MKOA WA GEITA AKUTANA NA VIONGOZI WA NGAZI MBALIMBALI


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila Nabayu amekutana na Viongozi Mbalimbali wa ngazi zote wakiwemo Wenyeviti,Bodaboda Wenyeviti,Machinga , wajasiliamali Waendesha Bodaboda Lengo Ikiwa ni kusikiliza Kero zao

Kasendamila alisema Lengo lake ni kuhakikisha wanamaliza Kero zote  za Wananchi Ili Wananchi waendelee kukiamini Chama Cha Mapinduzi na kusimamia Vizuri Miradi ya Maendeleo

Naye Mjumbe wa Kamati ya Siasa Titus c kabuo alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mwenyekiti uyoo Kwa kazi kubwa anayoifanya ya kutatua Kero za Wananchi ikiwa ni Moja ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 

Lakini pia alituma Salamu kumshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kushusha Fedha Nyingi hivyo Wananchi wa Mkoa wa Geita Wana Sababu ya kuendelea kumwamini Rais Samia Kwa kushusha Fedha Nyingi za Miradi ya Maendeleo






 







Previous Post Next Post