MWENYEKITI WA MTAA KAWEKAMO AMPONGEZA MBUNGE WA JIMBO LA ILEMELA



Mwenyekiti wa mtaa wa Kawekamo amewapongeze Viongozi wa kata hiyo wakiongozwa na Mhe, Mbunge Angelina Mabula Kwa kutoa Matofari 1000 kwaajiri ya Ujenzi wa Office ya mtaa huo 

Akizungumza officen Kwake alipokuwa anahojiwa na Misalaba Media Mhe, Perus Nkunu alisema Ujenzi huo unajengwa Kwa Nguvu za Wananchi na kushirikiana na Viongozi akiwemo Mhe, Mbunge na  Diwan wa Kata iyooo ambapo alisema pia Diwani Omary alichangia Cement Pamoja na tipu za Mawe 

Nkunu alisema kukamilika Kwa office Iyoo kutasaidia kutunza Siri za Wananchi wanapokuwa wanaleta Kero zao Nyumbani hivyo kukamilika Kwa office Iyoo kutasaidia kutunza Siri za Wananchi.

Lakini pia tunatalajia kukamilisha Ujenzi wa Office Mwaka huu  Mwezi6 tutaalika Wananchi Pamoja na Mhe, Mbunge wa Jimbo hili ndiye atakaye tuzindulia Office hii ya Wananchi hivyo Tunaomba Wananchi wajitokeze Kwa wingi










Previous Post Next Post