FT: LIGI Kuu Bara
Mzunguko
wa pili
Simba
2-0 Tabora United
Sadio
Kanoute goal dakika ya 19
Edwin
Balua goal dakika ya77.
Simba
ipo Uwanja wa Azam Complex Dar kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Tabora
United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.
Ayoub
Lakred ameanza langoni ikiwa ni mchezo wake wa tatu mfululizo chini ya Kocha
Mkuu, Juma Mgunda.
Katika dakika
45 za mwanzo Simba imecheza jumla ya faulo tano huku mwamba Israel Mwenda
akicheza faulo mbili kwenye mchezo huo.
Tabora
United nao pia
wapo kwenye msako wa pointi tatu kwa kuwa mzunguko wa pili ni muda wakufunga
hesabu.