Na Mapuli Kitina Misalaba
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imepata hati safi
kutokana na kujibu hoja za mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) kwa
Mwaka wa fedha 2022\2023.
Hayo yamebainishwa leo
kwenye kikao cha baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga lililojadili taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja za mdhibiti na
mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG.
Akiwasilisha taarifa ya
mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa hesabu zilizokaguliwa katika
Mwaka unaoishia terehe 30 Juni, 2023 Mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya
Shinyanga Bwana Thobias Shija ameitaja
Halmashauri hiyo kupata hati safi.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
Mhe. Anamringi Macha ametumia nafasi hiyo kuipongeza Halmashauri
ya Wilaya ya Shinyanga kwa kupata Hati
Safi, huku akisisitiza kutoridhika na hati safi hiyo ambapo amewahimiza
kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa juhudi na ushirikiano uliopo ili
kuendeleza matokeo chanya ya kimaendeleo.
Amewataka watendaji wa
halmashauri kuwajibikia majukumu yao kila mmoja kulingana na nafasi yake ili
kwa pamoja waweze kuleta tija na ufanisi na kuchochea maendeleo
Amewataka Madiwani
kupitia mikutano yao ya hadhara kuwaelimisha na kuhamasisha wananchi kujiunga
na Bima ya Afya ili waweze kujikwamua kiafya.
Makamu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Nikodemus Luhende amesema
Halmashauri hiyo kupitia madiwani, wataendelea kushirikiana na wataalam
mbalimbali katika kuleta maendeleo zaidi kwa wananchi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Shinyanga vijijini Edward Ngelela ameipongeza Halmashauri hiyo kwa kupata hati safi.
Makamu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Nikodemus Luhende akizungumza
leo Juni 25,2024 kwenye kikao cha baraza maalum la
madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili taarifa za
utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za
serikali CAG.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Kalekwa Kasanga akisoma agenda za
kikio cha baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya
Wilaya ya Shinyanga lililojadili taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao
mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringa Macha akizungumza kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Kalekwa Kasanga akizungumza kwenye
baraza hilo leo Juni 25,2024.
Mweka hazina wa
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bwana Thobias Shija akiwasilisha taarifa ya
mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa hesabu zilizokaguliwa katika
Mwaka unaoishia terehe 30 Juni, 2023.

Diwani
wa kata ya Ilola Mhe. Amosy Mshandete akitoa maoni yake kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringa Macha akiipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa kupata hati safi.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akihimiza ushirikiano kwenye kikao hicho.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Kalekwa Kasanga. Kikao kikiendelea.
Kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG kikiendelea leo Juni 25,2024.
Katibu
tawala wa Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo akitoa maoni yake kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Katibu
tawala wa Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo akitoa maoni yake kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Makamu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Nikodemus Luhende akizungumza
kwenye kikao hicho leo Juni 25,2024.

wa kata ya Imesela Mhe. Seth Msangwa akitoa maoni yake kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Diwani
wa kata ya Itwangi Mhe. Sonya Mhela akitoa maoni yake kwenye kikio cha
baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga lililojadili
taarifa za utekelezaji wa majibu ya hoja zao mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu
za serikali CAG leo Juni 25,2024.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Wilaya ya Shinyanga vijijini Edward Ngelela akiipongeza Halmashauri
hiyo kwa kupata hati safi.