KAMATI YA SIASA CCM WILAYA YA MAGU YAONGOZANA NA WAZEE KUTEMBELEA MIRADI


Kamati ya Siasa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza yaongozana na  wazee wa Wilaya iyoo kutembea Miradi iliyotekelezwa na Chama Cha Mapinduzi ikiwa ni Lengo la kuwaonesha kazi zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi

Akizungumza Katibu wa Kata iyoo amesema Lengo la kutembea Miradi ni kuhakikisha wazee wanaona kazi zinazofanywa na Serikali yao nasiyo kupetoshwa na Maneno ya watu wasiopenda Maendeleo

Kamati iyooo Imetembelea Miradi Minne Mradi wa 1 ni Ujenzi wa Shule ya kanyama,Mradi wa Ujenzi wa Chuo Cha waremavu,Mradi wa Ujenzi wa Tank la Maji Bujora,Lakini pia na Mradi wa Madarasa ya Uviko 19 Shule ya Sekondari Lumve,Mwisho Imetembelea Mradi wa Shule mpya ya chief Angaya 

Mmoja wa wazee hao Deus Amidu amepongeza kazi zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi,Amidu amesema hakika wamejionea na wanakila Sababu ya kukipongeza Chama Cha Mapinduzi Chini ya Dkt Samia Suluhu Hassani Mbunge wa Jimbo hilo Desideli kiswaga lkn pia na Diwani wa Kata iyoo Mhe, Bunyanya  Kwa kazi kubwa wanayoifanya.











 





















Previous Post Next Post