Diwani wa Kata ya Isamilo Nyamasiriri Charles amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Mwaka 2022/2023 ambacho kimewasilishwa Kata ya Isamilo Nyanyama Plaza Mkoani Mwanza
Akizungumza wakati akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji Diwani uyoo ameishukuru Serikali ya awamu ya Sita Kwa kuleta Maendeleo ya Jamii kutekeleza Sheria ya utoaji Mikopo Kwa Vikundi vya Wanawake,Vijana na watu wenye Ulemavu na kuwajengea uwezo na kuwapa Mafunzo ya wajasiliamali
Lakini pia Charles alishukuru Mhe, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Staslaus Mabula Kwa kujitaidi kuleta Maendeleo kwenye Kata iyooo ikiwemo kutenga Fedha za Ujenzi wa Vyumba vitatu (3)vya Madarasa