QWIHAYA ATAKA WANANCHI KUJIANDIKISHA KWA AJIRI YA UPIGAJI KURA.


Na Neema Kandoro Mwanza

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ( Ccm) amewataka Wananchi kujitokeza Kwa Wingi katika kujiandika kwenye Daftari la Wapiga kura

Akizungumza Jana jijini Mwanza 25/6/2024 katika maeneo tofauti Kata ya Luchelele, Mkoani, Buhongwa,Rwanima Kishili na  Mahina alipokuwa akikabidhi Mifuko 320 na Lori 2 za Mchanga  Kwa ajiri ya Ujenzi wa ofisi za Chama Ngazi ya Kata ambapo Kila kata ilipata Mifuko 40

Qwihaya alisema ni jukumu la Kila Mtanzania kuhakikisha anajiandikisha katika Daftari la wapiga kura Ili uweze kupiga kura ni Lazima uwe umejiandikisha hivyo tunahakikishe tunaenda kwenye vituo vyetu vya kujiandikisha Kwa ajiri ya Maandalizi ya Upigaji kura.



Previous Post Next Post