Mhe, Mbunge wa Viti
Maalumu Mkoa wa Geita Rose Vincent ameipongeza
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Daktari Mama Shupavu Dkt Samia Suluhu
Hassani Kwa kuwaona Wajasiliamali.
Akizungumza jana
Mkoani Geita Wilaya ya Nyangwa'le,Rose
Vicent wakati wa Ziala ya Waziri Mkuu Mhe, Kassimu Majaliwa (Mb )alipokuwa
anazungumza na Wananchi wa Nyangw'ale
Mkoani Geita amesema Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Dkt Samia Suluhu
Hassani Imefanya Mambo makubwa Sana kwenye Mkoa wa Geita.
Vicent alisema Hata hivyo Wananchi walikuwa na
kilio kikubwa juu ya uwezeshaji wa Mikopo Ili kuwarahisishia Wananchi kujikwamua na Mikopo ya kausha Damu,ambayo
Imekuwa ikiwatesa sana Wanawake na kuwapelekea Vitu vyao vya Ndani kubeba, lkn
pia ndoa Nyingi kuvunjika Kwa Sababu ya
Mikopo ya kausha damu.
Hivyo bhac Wananchi
wa Mkoa wa Geita tuna Kila Sababu ya Kumwamini Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa
kazi aliyoifanya shukhurani yetu
tutamlipa kula Kwa kura Nyingi na
Kuhakikisha anashinda Kwa Kishindo.