Ticker

6/recent/ticker-posts

TAMASHA MAALUM LA MTOTO WA AFRICA KUANZA JUNI 20 HADI 22 MAZINGIRA CENTER MJINI SHINYANGA, MUANDIKISHE MTOTO WAKO LEO NAFASI NI CHACHE TUPIGIE KWAMBA NAMBA HII 0765907420

Je Wajua Mtoto wako ni MGODI wenye HAZINA ya TALANTA /VIPAJI ambavyo vinasubiri kuchimbuliwa na kuibuliwa ili aweze Kutosha katika Ile project kubwa ya Mungu (The Purpose) au MPANGO Wa Mungu?, Je wajua Ameletwa hapa Duniani kuwa nani? Kufanya Nini? Ana Ndoto Kubwa Kiasi Gani? (Vision) Apite njia Gani kufikia Ndoto Zake?

Majibu haya yatajileta pole pole ikiwa tu Mtoto wako atakuwa na MENTORS sahihi wa kuongoza njia zake, na kusaidia kuibua VIPAJI vyake.

Kupitia Tamasha Maalum la Mtoto Wa Africa 🌍 Wakati wa Likizo... Tutapata Fursa ya Kuleta Chachu ya Vipaji vya MTOTO wako, wakati akifurahia michezo, na Nasaha kutoka Kwa Wabobezi  ambao Wameshajipata, huku tukizingatia Ulinzi na Usalama Wa Mtoto.

 Muandikishe Mtoto wako mapema (LEO) Nafasi ni Chache

Post a Comment

0 Comments