VIONGOZI WA SOKO KUSHEREHEKEA MIAKA MIWILI YA SOKO LAO


Viongozi wa Soko la DarMpya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza wamejipongeza Kwa kutimiza Miaka2 ya kutekeleza Agizo la Mhe, Rais Dkt Samia Suluhu la kuhakikisha wamachinga wanahamia kwenye Maeneo husika ambayo watapangiwa na Viongozi wao 

Akizungumza Katibu wa Soko Hilo Said Matambi alisema Wao kama wamachinga Baada ya kusikiliza Agizo la Mhe, Rais Dkt Samia alipotoa Maelekezo Kwa Waziri Mkuu Mhe, Kassimu Majaliwa Majaliwa kutoa Maelekezo ya Ngazi ya Wilaya Zoezi Hilo liliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi Pamoja na Mkurugezi walioshiriki ana na kuwapangia Maeneo hayo

Lakini pia Katibu uyoo alisema kulingana na Changamoto za hapa na pale Biashara haikuwa Nzuri lkn sisi Kwa kushirikiana na wamachinga wenzetu ilibidi tutii Agizo Hilo lkn pia Mwenyekiti wa soko hilo Jefta alisema soko hilo lilikuwa na Changamoto lkn Tunashukuru Serikali ya awamu ya siku Kwa kuendelea kuwapa ushirikiano

Naye Mgeni Rasmi Ambae ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Buhongwa  Simon Msakaji aliwataka Wananchi na wafanyabiashara kutotumia jina la Dampo na badala watumie jina la DarMpya







































 

Previous Post Next Post