WANAWAKE CHANGAMKIENI FURSA YA UONGOZI

Mnec,Ellen Bogohe Ambae ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Ccm Taifa amewataka Wanawake wa Mkoa wa Mwanza Kuchangamkia Fursa ya  kugombea Nafasi Mbalimbali

Bogohe akizungumza katika Balaza Kuu la Iddi lililofanyika Mkoani Mwanza na Shehe wa Mkoa Hassan Kabeke likiwa na Lengo la kuchangia Miradi ya Maendeleo ya Taasisi iyoo

Bogohe alitoa Pongezi Kwa Shehe wa Mkoa Kwa Kuunganisha Viongozi wa Dini na Serikali lakini pia aliwataka Wananchi kutambua kazi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa kazi kubwa anayoifanya

Bogoye alisema kuelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni vyema Wanawake wakajitokeza Kwa Sababu ya Uwezo walio nao Ni kubwa






 




Previous Post Next Post