Akizungumza na Wananchi wa mji Mdogo wa Katoro Waziri Mkuu amesema Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia amesema Serikali ipo Imara na Inaendelea kutekeleza Miradi ya Kimkakati.
Akizungumza Jana Mkoani Geita wakati wa ziala yake amesema utekelezaji wa Miradi hiyo utawezesha Wananchi wa kutekeleza Majukumu yao kikamilifu na kushiriki katika Shughuli zako za kiuchumi.
Naye Mhe, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita Rose Vincent amesema anaipongeza Serikali ya awamu ya Sita Kwa kujenga kituo Cha wakina Mama.