ALHAMISI JULAI 18, KUFANYIKA ADHIMISHO LA MISA YA UTOLEWAJI WA DARAJA LA UPADRE KWA MASHEMASI 11 WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA

 KARIBU KWENYE ADHIMISHO LA MISA YA UTOLEWAJI WA DARAJA LA UPADRE KWA MASHEMASI 11 WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA AMBAYO ITAFANYIKA KATIKA PAROKIA YA BUHANGIJA MJINI SHINYANGA MNAMO ALHAMISI TAREHE 18.07.2024.

MISA YA UTOLEWAJI WA DARAJA LA UPADRE ITAOONGOZWA NA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU.
Previous Post Next Post