Na. Scola Malinga na Peter Haule, WF, Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, wakibadilishana mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 na kufanya jumla ya msaada kuwa shilingi bilioni 53.35 baada ya awali kutolewa shilingi bilioni 44.42 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, hafla iliyofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Hitoshi Ara, wakionesha mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 na kufanya jumla ya msaada kuwa shilingi bilioni 53.35 baada ya awali kutolewa shilingi bilioni 44.42 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, hafla iliyofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, wakisaini mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 na kufanya jumla ya msaada kuwa shilingi bilioni 53.35, baada ya awali kutolewa shilingi bilioni 44.42 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, hafla iliyofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba akiihakikishia Japan kuwa Serikali itachukua hatua zote muhimu kuhakikisha mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma unatekelezwa kwa ufanisi baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, akieleza sababu za kutoa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma kuwa ni pamoja na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji fedha, baada ya kusainiwa kwa msaada huo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto) na Ujumbe wa Japan ukiongozwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa (kulia), ukiwa katika hafla ya kusaini mkataba wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigomailiyofanyika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, wakitoka katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam baada ya kusaini mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 na kufanya jumla ya msaada kuwa shilingi bilioni 53.35 baada ya awali kutolewa shilingi bilioni 44.42 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa, wakizungumza masuala mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto), Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Hitoshi Ara (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania baada ya kusainiwa kwa mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kushoto), Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yasushi Misawa (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) Tanzania, Bw. Hitoshi Ara (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Ubalozi wa Japan baada ya kusainiwa mkataba wa Marekebisho ya msaada wa nyongeza ya Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma, Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)