KASWAHILI AONGOZA BARAZA LA UVCCM


Baraza la UVCCM wilaya Nyang'hwale chini ya mwenyekiti wake KASWAHILI ENOCK  ameongoza kikao cha baraza la uvccm wilaya ya limejadili mambo mbalimbali ikiwemo uhai wa jumuiya!


Lakini pia kwa pamoja baraza la umoja wa vijana wilaya ya Nyang'hwale imeridhia kumpongeza dkt Samia kwa kuendelea kuleta fedha nyingi za miradi ya maendeleo kwa wilaya yetu ya Nyang'hwale!
       

Sambamba na hayo Baraza la uvccm limempogez MH mbunge wetu wa jimbo la Nyang'hwale na kuridhia shule mpya secondary  ambayo itajengwa kata ya karumwa itwe SHULE YA SECONDARY HUSSEIN NASSOR



Previous Post Next Post