KLABU YA SIMBA YATAMBULISHA JEZI ZA MSIMU MPYA 2024\2025
Misalaba0
Uongozi wa klabu ya Simba SC chini ya Mwenyeketi wa klabu Murtaza Mangungu wametambulisha Jezi mpya leo Julai 24, 2024 za msimu wa 2024/25 katika Mbuga ya Mikumi, Mkoani Morogoro.
Huu. ni muonekano wa Jezi mpya za ubaya ubwela Simba SC..