Hussein kanyasu Ambae ni Mbunge wa Jimbo la Nyangw'ale Mkoani Geita amewataka Vijana kujitokeza Kwa Wingi katika Daftari la kudumu la Wapiga kura
Hussein Nassor ameyasema 2/7/2024 Leo wakati akizungumza na umoja wa Vijana (Uvccm )kuwa Vijana ndiyo Nguvu kazi hivyo wajitokeze Kwa wingi na kuwataka wawe na Uzalendo kwenye Nchi yetu
Lakin pia Naye Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Uvccm Wilaya ya Nyangwa'le Kaswahili Enock amepongeza Mbunge uyoo Kwa kukubali Mwaliko wao kuwa Mgeni Rasmi hakika Ushauri wa Mhe, Mbunge Wataufanyia kazi.