RAIS DKT. SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.
Previous Post Next Post