Na Mwandishi Wetu,
Nairobi KENYA.
Rais Ruto awateua viongozi wa upinzani kujiunga na baraza lake la mawaziri Kenya
Rais William Ruto amewateua baadhi ya viongozi wa upinzani katika baraza lake la mawaziri .Ruto pia amerejesha mawaziri wa zamani wanne waliokuwa katika baraza lake la hapo awali ,akiwemo aliyekuwa mkuu wa sheria Justin Muturi ambaye sasa ni waziri .Walioteuliwa ni ;
John Mbadi- Wizara ya Fedha
Salim Mvurya - Uwekezaji
Rebecca Miano -Utalii
Opiyo Wandayi -Kawi
Kipchumba Murkomen- Vijana na Spoti
Hassan Joho -Madini
Alfred Mutua – Leba
Wycliffe Oparanya – Vyama vya Ushirika
Justin Muturi – Utumishi wa Umma
Stella Langat – Jinsia
Hassan Joho-Waziri Mteule wa Madini |