RAIS SAMIA ASHIRIKI SIKU YA MASHUJAA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2024 alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki katika Maadhimisho hayo.








Previous Post Next Post