SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZA WALIMU,BOFYA HAPA KUOMBA AJIRA LEO

  Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 11,015 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.


Previous Post Next Post