Na Neema Kandoro
Shekh wa Mkoa wa Mwanza Ndg Hassan Kabeke amekemea vikali mauaji yayoendelea yakiusisha kupata Mali Pamoja na vyeo vinavyosababishwa na Wapiga Ramli
Hayo hameyasema Jana katika Msiba wa Sebastian Tochi Lukona ambaye amepumzishwa kwenye Nyumba Yake ya Milele Jana Maeneo ya Kajangaja IGOMBE
Kabeke alitumia nafasi hiyo kukemea mauaji ya kikatili ambayo Yana Imani potofu aliwataka Wananchi kuwa Mabalozi wa Familia zao na kutoa Taarifa dhidi ya matukio ya Mauaji