TAZAMA HAPA UZI MPYA WA YANGA 2024/2025

 

Klabu ya Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025 Yanga wametambulisha rasmi jezi zao za nyumbani, ugenini na jezi mbadapa (third kit) watakazotumia katika msimu ujao wa mashindano, jezi hizo zitauzwa Tsh 45,000.

Yanga  wametambulisha uzi wao mpya wa nyumbani utakaotumika msimu wa 2024/25
Uzi wao mpya, na huu ni uzi wa “AWAY”


Previous Post Next Post