USIKOSE KUFUATILIA IBADA YA MASIFU YA JIONI LEO JUMATANO KUTOKA KANISA LA BIKRA MARIA MEDIATRIX PAROKISA YA BUHANGIJA MJINI SHINYANGA

USIKOSE KUFUATILIA IBADA YA MASIFU YA JIONI KUTOKA KANISA LA BIKRA MARIA MEDIATRIX PAROKISA YA BUHANGIJA MJINI SHINYANGA LEO JUMATANO TAREHE 17.07.2024 KUANZIA SAA 11: 00 JIONI KUPITIA UKURASA WETU WA FACEBOOK.
IBADA HIYO INAYONGOZWA NA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA MHASHAMU LIBERATUS SANGU AMBAYO NI SEHEMU YA MAANDALIZI YA UTOLEWAJI WA DARAJA TAKATIFU LA UPADRE KWA MASHEMASI 11 WA JIMBO HAPO KESHO

 

Previous Post Next Post