Viongozi Mbalimbali Mkoani Mwanza wameshiriki Mazishi ya Sebastian Tochi Lukona Ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Kijiji mtaafu lakini pia kiongozi aliyeitumikia Serikali Kwa Ngazi Tofauti
Akizungumza katika Mazishi hayo Msemaji wa Familia Jana 22/72024/ Mkoani Mwanza Ndugu Leonard Mahenda Qwihaya ambaye aliyekufa ni Baba yake Mkubwa amesema Mimi kama Mtoto wake nimejifunza Mengi kutoka Kwa Mzee uyoo Ikiwa ni kuenzi Mema yake wakati wa uhai wake.