WAZIRI MKUU AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI AZINDUA SERA YA TAIFA YA DAWA ZA KULEVYA


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Majaliwa akizindua sera ya Taifa ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya julai30 /2024 wakati wa kilele Cha MAADHIMISHO ya siku ya kupiga vita Dawa za kulevya chini ya Kauli Mbiu Wekeza kwenye kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya yaliyofanyika katika Viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza

Akizungumza Jana jijini Mwanza 30/6/2024 Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amaagiza Waziri wa Elimu Sayansi na Technolojia Ofisi ya Rais -Tamisemi Ofisi ya Waziri Mkuu zikae Pamoja na Wizara ya Fedha na kuandaa Mpango wa Kitaifa wa kuwezesha kujikimu Vijana wanaoachana na Matumizi ya Dawa za kulevya Nchini

Amesema kutekeleza Kwa Agizo Hilo kutawezesha Vijana hao kupata mitaji ambayo itawezesha kushiriki kwenye Shughuli za Ujasiliamali ambazo zitawasaidia kukuza kipato Chao

Lakini pia Kassimu Majaliwa amesema wadau Mbalimbali walioshiriki kilele Cha Maadhimisho ya Kitaifa ya siku kupiga vita Dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza

Waziri Mkuu pia ametoa Pongezi Kwa Viongozi wa Taasisi hiyo Kwa jitihada zilizofanyika Kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo ambapo Hadi Sasa Serikali Imefanikiwa kujenga zaidi vya Vituo16 vinavyohudumia kutoka vituo vilivyokuwepi















Previous Post Next Post