Sitapenda kutaja jina langu na mahali ninapotokea kutokana na aina ya simulizi yangu, kutokana na ugumu wa maisha nilijikuta nimeingia kwenye biashara ya ukahaba bila mimi mwenye kupenda, nilifanya kazi ile kishingo upande, ni vile tu sikuwa na jinsi.
Kiukweli huko nilikumbana na changamoto nyingi, moja wapo ambayo ni kubwa zaidi ni kukamatwa na Polisi na kufikishwa kituoni, kama ukiwa siku hiyo umepata fedha kidogo inabidi kuwagawia kidogo.
Nakumbuka changamoto nyingine ni kwamba wateja wengi hawakutaka kutumia kondomu au mwingine anaivaa kabisa halafu katikati ya safari anaipasua kwa makusudi.
Ukweli jambo hilo lilikuwa likinikera kwani maradhi ni mengi, nilivumilia hilo kutokana sikuwa na jinsi ya kupata fedha kwa wakati huo ambapo maisha yalikuwa yamenishika kisawa sawa!.
Sasa baada ya muda nilianza kuugua ugonjwa wa Kisonono, nilienda hospitali ambapo nilifanyiwa vipimo hivyo na kupatiwa dawa za kutumia, lakini cha ajabu ugonjwa ule ulikuwa inaisha na baada ya muda kigodo unaanza tena.
Nakumbuka kila nikipona na kurejea kwenye kazi yangu hazikupita siku mbili naanza kuumwa tena, hivyo narudi tena hospitali kwa ajili ya dawa, nakumbuka nilitumia dawa za kila aina hadi ikafikia hatua Dokta akaniambia ugonjwa wangu umekuwa sugu, hausikii tena dawa.
Yaani jambo hilo lilinipa sana msongo wa mawazo maana nilikuwa nikiwashwa sana sehemu za siri na mwili kuishiwa nguvu, nilitafuta dawa za mitishamba na kitumia lakini sikuweza kupona.
Kupona kwangu ni baada ya kupata dawa kutoka kwa Dr Bokko ambaye ni rafiki yangu alinielekeza kwake, bila uwoga naweza kusema bila yeye hadi sasa ningekuwa nateseka na ugonjwa huo ambao hata ni aibu kuutaja mbele za watu maana unaweza kuonekana ni malaya.
Sasa baada ya kupona niliamua kuachana na kazi ya ukahaba na sasa nimeajiriwa kwenye moja ya saloni iliyopo katikati ya mjini na ndipo nafanya kazi zangu na kweli napata fedha halali ambazo zinanisaidia kuendesha maisha yangu.