DIWANI KABADI APONGEZA UJIO WA KATIBU MKUU MWANZA


Diwani wa Kata ya Buhongwa Mhe Benard Joseph Kabadi amepongeza Ujio wa Ziala ya Katibu Mkuu Ccm Taifa na Mwenezi Taifa Pamoja na Viongozi wote waliopita Kata ya Buhongwa ikiwa ni ziala ya Kichama ya kuelekea Viwanja vya Furahisha

Akizungumza Diwan uyoo Jana Jijini Mwanza Bahada ya Ugeni uyoo alisema Maelekezo ya Katibu Mkuu ni Tusigawanye watu Kwa Misingi ya vyama vya Siasa Dini,ukabila Rangi,unatoka wapi? Muda wote tujitambulishe sisi ni Watanzania 

Kabadi alisema Kiongozi uyoo ni mfano wa kuigwa katika Viongozi wa Chama Kwa Busala na Ekima ambazo amekuwa nazo katika kipindi Cha huongozi wake

Pongezi Nyingi ziende Kwa Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa kazi kubwa anayoifanya ya Kuleta Miradi mikubwa kwenye Kata yake ya Buhongwa hii haijawai tokea ni awamu tu ya Sita Imefanya Aya yote Hatuna Cha kumpa Rais wetu zaidi ya kumwemboa Kwa Mwenyezi Mungu alisema Diwani uyoo
Previous Post Next Post