Mbunge wa Vijana Taifa kutoka Mkoa wa Mwanza Mhe, Ngw'as kamani amewataka Vijana kujitokeza Kwa Wingi katika kujiandikisha kwenye Daftari la kudumu la Wapiga kura Ili kushiriki Zoezi la Uchaguzi Mkuu 2025 na Uchaguzi wa Serikali za mitaa Mwaka huu
Akizungumza kamani Jana jijini Mwanza katika Maeneo ya Ujenzi wa Barabara ya Lami Tsh 1,315,636,014,00 / Ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto eneo la Zahanati ya Shadi Tsh 180,000,000.00 / Mkutano wa hadhara kukagua Ujenzi wa Madarasa Mapya Nganza Sekondari na kukagua Bweni la Wasichana wakati wa Ziala ya Agnes Bashemu Ambae ni Naibu Katibu Tawala na huendeshaji Uwt Taifa
Ziala iyoo ya Viongozi wa Uwt ilikuwa ni Kuhakikisha Wanajionea kazi zinazofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassani Kwa Macho na kutaka Wananchi wajionee Kwa Macho na si kuambiwa
Ngw'as alisema Wanafunzi kuweni Makini na Mambo ya Mitandao ya kijamii na na koromoka Kwa maadili na kuwataka wazazi kuhakikisha wanasumbua wao kushirikiana na waalimu katika Malezi hayo huku akiwataka watoto wa kiume na Wa kike kuhakikisha masomo kuachana nambo ya Dunia