MHINA ATOA ELIMU KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA


Wakati Rais Samia Suluhu Hassani akiendelea kusisitiza kuhusu Matumizi ya Nishati safi ya kupikia Kwa ajiri ya Utunzaji wa Mazingira.

Naye Manager Ewura kutoka Mamlaka ya Udhibiti Huduma Nishati na maji Kanda ya Ziwa George Mhina ametumia Maonesho ya NaneNane yaliyopo katika Viwanja vya Nyamhongolo Mkoani Mwanza Kuwataka Wana kanda ya Ziwa kuhunga Mkono Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassani Kwa kutumia Nishati safi ya kupikia 


Mhina Amesema kutokana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ambayo yamesababisha na Uhabifu wa Mazingira na ukataji wa miti Kwa ajiri ya Nishati ya kupikia ya Kuni na Mkaa





Previous Post Next Post