MAREKANI: Serikali ya Venezuela imeendelea kupata shinikizo la kimataifa la kuhalalisha ushindi wa Rais Nicholas Maduro ambaye hakushinda uchaguzi uliofanyika 28 Julai mwaka huu.
Miongoni mwa watu wanaoendelea kukataa matokeo hayo ni Waziri Mkuu wa Marekano Anthony Blinken ambaey amesema Edmundo Gonzalez ndiey mshindi wa urais nchini Venezuela.
“Kuna ushahidi mkubwa na niwazi Edmundo González alipata kura nyingi katika uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe 28 Julai,” Waziri Blinken amesema.
Nchi zingine ambazo ziemkataa kukubaliana na matokeo hayo ni Mexico, Colombia na Brazil.