Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa foleni katika moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani Kagera na lilianza Agosti 5 hadi 11,2024.
Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa katika moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani Kagera na lilianza Agosti 5 hadi 11,2024. Wakazi wa Mji wa Geita mkoani Geita wakiwa katika moja ya vituo vya kuboreshea Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani humo kwaajili ya kuboresha taarifa zao na kujiandiskisha leo ikiwa ni siku ya mwisho ya zoezi hilo mkoani Geita. Zoezi hilo pia linafanyika mkoani Kagera na lilianza Agosti 5 hadi 11,2024.
Wananchi wengi wamejitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limekamilika leo tarehe 11 Agosti, 2024 mkoani Geita baada ya kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 05 Agosti, 2024.
Wananchio wakijiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Picha zote na INEC.