Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini kupitia usaili uliofanyika Mikoa mbalimbali kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya polisi Moshi kuanzia tarehe 30.09.2024 hadi tarehe 2.10.2024 ili kuhudhuria mafunzo.
Bofya hiyo link ya blue hapo chini kuona mjina ya waliochaguliwa.
👇👇👇👇