Furahia Mafunzo Kabambe Mwanza na Kanda ya Ziwa!
Katika safari yako ya kuwa mjasiriamali bora, usikose fursa hii ya pekee! Mariasuzy Bakery Expert (SME) inakualika kwenye mafunzo maalum yatakayokupa maarifa na ujuzi wa kisasa katika uokaji na usimamizi wa biashara.
Kila hatua itakayofundishwa imeandaliwa kwa makini ili kukusaidia kuleta mabadiliko chanya kwenye biashara yako.
Je, Mafunzo haya yana nini?
- Mafunzo ya vitendo ya uokaji wa bidhaa mbalimbali
- Mbinu bora za kusimamia na kukuza biashara yako
- Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wakufunzi waliobobea katika sekta ya uokaji na ujasiriamali
Tarehe na Mahali
- Tarehe: 28 Oktoba 2024 - 1 Novemba 2024
- Muda: Saa 3:00 Asubuhi - 10:00 Jioni
- Mahali: Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
Ada ya Mafunzo
- Shilingi 125,000/= tu kwa siku 5
Jisajili Sasa!
Lipia kupitia akaunti ya Azania Bank: A/C: 001810427389 – Mary Malemi.
NB: Nafasi 10 za bure zinapatikana kwa walemavu.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi:
- Simu: 0788 774 594 au 0715 224 264
Usikose! Karibu ujifunze na ufanikiwe!