HomeSHINYANGA SMAUJATA MKOA WA SHINYANGA WAKUTANA KUJADILI MAMBO MUHIMU Misalaba September 22, 2024 0 Viongozi wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga wamefanya kikao cha pamoja ambacho kimehudhuriwa na wenyeviti na katibu kutoka kwenye kila Halmashauri Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Bi. Nabila Kisendi akiongoza kikao hicho.Katibu wa kanda ya ziwa Bwana Daniel Kapaya akizungumza kwenye kikao hicho. You Might Like View all