PICHA : SMAUJATA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIZIWI MKOANI SHINYANGA

Viongozi wa SMAUJATA Manispa na Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso katika kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya Viziwi kitaifa ambayo yamefanyika Mkoani Shinyanga Mwaka huu 2024.

Viongozi wa SMAUJATA Manispa na Mkoa wa Shinyanga, viongozi wa serikali wakiwa kwenye picha ya pamoja na katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso katika kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya Viziwi kitaifa ambayo yamefanyika Mkoani Shinyanga Mwaka huu 2024.

Viongozi wa SMAUJATA Manispa na Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso katika kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya Viziwi kitaifa ambayo yamefanyika Mkoani Shinyanga Mwaka huu 2024.

 Katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso akisalimiana na mgeni rasmi, Naibu Waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, ajira na wenye ulemavu Mhe. Paschal Patrobas Katambi katika kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya Viziwi kitaifa ambayo yamefanyika Mkoani Shinyanga Mwaka huu 2024.

Picha ya pamoja

Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Madam Nabila Kisendi upande wa kulia akisalimiana na afisa ustawi wa jamii Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga baada ya kutoka kwenye kilele cha wiki ya maadhimisho ya siku ya Viziwi kitaifa ambayo yamefanyika Mkoani Shinyanga Mwaka huu 2024.

Viongozi mbalimbali wa SMAUJATA akiwepo katibu wa SMAUJATA kanda ya ziwa Bwana Daniel Kapaya wakijadili mambo muhimu.

Picha ya pamoja.

Katibu wa SMAUJATA kanda ya ziwa Bwana Daniel Kapaya akipeana mkono na Katibu idara ya uhitaji, maafa na makundi maalum SMAUJATA Taifa Shujaa Imani Zakaria Axwesso wa katikati ambapo upande wa kulia ni mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Shinyanga Madam Nabila Kisendi.

Previous Post Next Post